Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kila la kheri Timu ya Wananchi hapo 19:00Hrs.

Kama kawada tunahitaji points tatu na leo. Uwanja wao huwa ni mgumu sana kupata matokeo lakini hiyo haituzuwii kuonyesha ubora wetu mbele yao.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Kila la kheri timu yangu ya namungo

Ft namungo mbili yanga zero

Sent from my M2101K9AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…