Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Nimeshakiweka shem na mpaka sasa dakika ya 8 tuna bao tatu. 🤣Shemela lete kikosi wengine tuko off road bana.
Mie nasema aweke tu Mkuu. 🤣🤣Huyu clement asije weka goli 10 huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nasema aweke tu Mkuu. [emoji1787][emoji1787]
Ewaaa. 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] imepita hiyo mkuu
Huyu dogo noma sana.Clement mzize tena
Yanga 4, hao wengine 0Ngap huko mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yanga 4, hao wengine 0
Kwahiyo isingetakiwa tucheze au?Timu mnayocheza nayo hata kocha haina,wazee wa bahasha za mihogo [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hii yanga hata makolo wangekung'utwa 7-0 [emoji28][emoji28][emoji28]Hivi vitimu vinatoka huko hata kula chapati havijui wacha vifundishwe. Ifike mahali hata hizi mechi za mwanzo timu kubwa yaani simba na Yanga zikutane
kwa hii yanga hata makolo wangekung'utwa 7-0 [emoji28][emoji28][emoji28]
thimba hii mnayopanda coaster za bunju nishushe [emoji28]Kwa Simba ya sasa Utopolo anakula 4-0( Realistic Goals, achana na huo uharo ulioweka)
Mie nikawa nawaza hizi Simba, Yanga na Azam wangeziweka zikaanzia hizo round zinazofuata huko juu Sababu huku chini sana ni kama uonevu kwa timu ndogo.Hivi vitimu vinatoka huko hata kula chapati havijui wacha vifundishwe. Ifike mahali hata hizi mechi za mwanzo timu kubwa yaani simba na Yanga zikutane