jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Simba mnakocha?Timu mnayocheza nayo hata kocha haina,wazee wa bahasha za mihogo [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheza na Eagle, unaweka kikosi cha kupambana na Tp Mazembe.Timu mnayocheza nayo hata kocha haina,wazee wa bahasha za mihogo [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Realistic goals kama za msimu upi?Kwa Simba ya sasa Utopolo anakula 4-0( Realistic Goals, achana na huo uharo ulioweka)
Angalau waanzie round ya tatu maana dah.Mie nikawa nawaza hizi Simba, Yanga na Azam wangeziweka zikaanzia hizo round zinazofuata huko juu Sababu huku chini sana ni kama uonevu kwa timu ndogo.
Wana msimamizi wa mazoezi.Simba mnakocha?
Mi mwenyewe walinichosha mbaya.Unacheza na Eagle, unaweka kikosi cha kupambana na Tp Mazembe.
Chama+Sakho+Phiri+Okrah.
Hujiamini?
Pia zingekuwa chache hizo. 😀Yanga wangeingiza kikosi chote nahakika jana gori 30
Mgunda mwoga sanaUnacheza na Eagle, unaweka kikosi cha kupambana na Tp Mazembe.
Chama+Sakho+Phiri+Okrah.
Hujiamini?
Msimamizi wa mazoezi.Mgunda mwoga sana
Tutasema nao hivyo hivyo.CAF Confederation Group D
TP Mazembe (Congo)
Monastir (Tunisia)
Young Africans
Real Bamako (Mali)View attachment 2444032
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Shemela.Tutasema nao hivyo hivyo.
Mgumu Mazembe tu hapoWaungwana kwenye hili kundi letu kuna kutoboa kweli.
Mbali na Tp Mazembe hizo zingine mafanikio yao yakoje huko Kimataifa?
View attachment 2444203
Afadhali , hapa kikubwa tutumie vizuri Uwanja wa nyumbani.Mgumu Mazembe tu hapo
Kitu kizuri zaidi tunaanzia kwa muarabu kwake halafu tunarudi kwa Mkapa kumsubiri Mazembe then tunaenda Mali kucheza na Bamako. Kwangu hii ni kama bahati kwetuNionavyo tukichanga karata zetu vyema kwa hizi game mbili za away dhidi ya US Monastir na hii Bamako, halafu katika mechi za marudiano hapo kwa Mkapa tukapata matokeo basi ni dhahiri tutasonga mbele.
View attachment 2444534
Hakika imekuwa bahati hapo tushindwe wenyewe tu.Kitu kizuri zaidi tunaanzia kwa muarabu kwake halafu tunarudi kwa Mkapa kumsubiri Mazembe then tunaenda Mali kucheza na Bamako. Kwangu hii ni kama bahati kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi hatushindwi. Tuombe majeraha yake mbali na wachezaji wetuHakika imekuwa bahati hapo tushindwe wenyewe tu.