Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa sasa ni 6 points clear. Walifurahi sana tulipofungwa na Ihefu wakasema afadhali points zimepungua nikawauliza na nyie mnaweza kutopoteza points wakajibu kwa majigambo ndio tunaweza. Sasa naona wao wenyewe wanaanza kuziachia
wanao tukimbiza wanajikwaa mwenyewe kuepusha kupoteza mda tupewe kombe letu wao wabaki wanacheza kombe la top four
 
CHINUA ACHEBE AMEANDIKA KATIKA RIWAYA YAKE YA "THINGS FALL APART" KWAMBA.
Mtu anayewaalika Jamaa zake kwenye sherehe hafanyi hivyo kwa ajili ya kuwaokoa kwa sababu ya njaa. Waalikwa wote wana vyakula majumbani kwao.
Tunapokusanyika usiku wa mbalamwezi katika ardhi ya kijiji chetu, siyo kwa sababu ya Mbalamwezi.
Kila mmoja angeweza kuiona mbalamwezi akiwa nyumbani kwake.
Tunakusanyika kwasababu ni jambo zuri kwa Jamaa kukusanyika pamoja.

Kwa hiyo tuendelee na umoja wetu ili tufurahie nguvu ya kuwa pamoja.
Tukitabasamu haimaanishi kwamba hatuna matatizo isipokuwa kwasababu tuna nguvu ya kuyashinda matatizo.

Peke yako unaweza kutabasamu lakini mkiwa pamoja mnaweza kucheka.
Ukiwa peke yako unaweza kufurahi lakini mkiwa wengi mnaweza kusherehekea.
Ukiwa peke yako unaweza kutamka lakini mkiwa pamoja mnaweza kuongea.

Tuendeleze mambo ambayo yanaweza kutuunganisha pamoja kuliko mambo ambayo yatasababishaj kutengana[emoji1431].

Nawatakia mema ya Christmas na mwaka mpya 2023. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Ujue bana sisi tunaeza kuona hastahili kucheza hapa Tz lakini yeye mwenyewe akajiona anastahili bado.

Ila sio kesi tusubiri tuone kauli ya Klabu ambayo ndo itakuwa ni yenye uhakika kwa 100%.
Naamini hata yeye anajua hastahili ila kinachotokea hizi ni figisu tu. Jamaa wanaweza kuja kumuuza kwa pesa mingi sana. Atayefuata kuondoka ni Dickson Job kama hili la Feisal litatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…