Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread


Mkituma kama hvi Utopolo nipigwe Ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji216][emoji216][emoji216][emoji216][emoji216][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Al hilal
 
Pamoja na ushindi wa jana, bado safu yetu ya ushambuliaji haiko makini juu tunapoteza nafasi mingi za wazi.

Benchi la ufundi bado linakazi kubwa mnoo juu ya hizi forward zetu.

Mayele anapoteza nafasi mingi za wazi, angelikuwa makini mpaka sasa ilikuwa 20+ goals anaongoza.

Anahitajika kuongeza umakini akiwa mbele ya goli la upinzani.

We deserve more than this[emoji1434] we are Young Africans[emoji172][emoji169]

#WANANCHIIII
 
Neno sahihi ni BUTU
 
Lakini pia mfumo wa kuweka striker mmoja mbele kunatunyima sana nafasi hasa kwa ligi ya home.
Mayele kila beki anamjua kuwa ni hatari mkimwacha pekee yeye atakabwa na bwatu 3 hadi 4...uchezaji wake unakua mgumu sana tuliona game ya mwisho hadi inabidi arudi nyuma kufuata mipira/kusaidia kuokoa ,hiyvo hata nafasi ikipatokana anakua na papara au anapata disturb nyingi,tuliona mfano ile alivyotaka kuwaacha wachezaji 5 lakini wakamvuta jearse...
Nabi aweke mfumo wa double strikers kama alivyofanya 2nd half wakicheza vile uhakika wa mabao mengi unakuwepo,

Hebu ajaribu

Morison +Musonda+Mayele+Moloko
 
Ukijaza hao ma strikers timu nani ata kaba? bora ushindi mwembamba kuliko ku risk kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…