Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga tupigwe kumi au saba ili tujipange vizuri na viongozi wawe na adabu
 
UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Yanga tupigwe kumi au saba ili tujipange vizuri na viongozi wawe na adabu
Mimi ni msimbazi hasa, na naomba matokeo yawe mabaya kwa yanga, maana, nitakua na cha kuwajibu kicheko piriva na Kamwe.

Ila nikuulize unadhani ni kipi, hawajakifanya viongozi, na wewe ungekua kiongozi ungefanya nini, ili kuipa yanga ushindi.
 
Kusajil wachezaji sio wanariadha kama wakina kisinda na moroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…