Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Ila nimecheka sana yaani.Ametoka kwenye uzinduzi wa jeziView attachment 2509779
Hawana hamu na mijezi yao. Teh teh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Ila nimecheka sana yaani.Ametoka kwenye uzinduzi wa jeziView attachment 2509779
Hahahaaa. Ila nimecheka sana yaani.
Hawana hamu na mijezi yao. Teh teh.
Hahahaa. Wameishia kusema eti jezi hazichezi uwanjani. Teh teh.Mijezi Kaa Migagulo , Vunjabei Mungu Anamuona [emoji1787]
Yaani sijui tunafeli wapi Mkuu.Uzi umepoa kama hatuna mechi muhimu bhn, wakuu vp mnakuwa kama uzi wa madunduka.
Aisee! Tulianza vizuri ila ghafla wametubadilikia.Mipira ya kutenga sio mizuri kwetu
Mimi ni msimbazi hasa, na naomba matokeo yawe mabaya kwa yanga, maana, nitakua na cha kuwajibu kicheko piriva na Kamwe.Yanga tupigwe kumi au saba ili tujipange vizuri na viongozi wawe na adabu
Kusajil wachezaji sio wanariadha kama wakina kisinda na morokoMimi ni msimbazi hasa, na naomba matokeo yawe mabaya kwa yanga, maana, nitakua na cha kuwajibu kicheko piriva na Kamwe.
Ila nikuulize unadhani ni kipi, hawajakifanya viongozi, na wewe ungekua kiongozi ungefanya nini, ili kuipa yanga ushindi.