Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Shukran Shem.Powa karibu, pia kesho usikose Lupaso.
Hakika inabidi tukaujaze uwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran Shem.Powa karibu, pia kesho usikose Lupaso.
Na points tatu ndo kila kitu.All the best chama languView attachment 2541553
Hivi kumbe amehamia Ihefu?Wanainchi mnauona moto wa Yacouba huko Ihefu?
Na kawa mchezaji Bora wa mweziHivi kumbe amehamia Ihefu?
Mkopo hajaend mazimaHivi kumbe amehamia Ihefu?
Lazima arudi wa moto.Hivi kumbe amehamia Ihefu?
Duh, dogo kajichoresha sana! Sasa pamoja na kutokuwamo uwanjani timu inaendelea kushinda! Aibu imemkuta!Kijana ameenda kupunguza dhambiView attachment 2542307View attachment 2542309
Yanga yupo vizuri. Bado anacheza club bingwa au ameshatoka?Kama kawaida tunaendelea kula milioni tano tano za Mama.
View attachment 2542844
Swali la kipumbavuYanga yupo vizuri. Bado anacheza club bingwa au ameshatoka?
Hiyo nguo rangi ya blue haikutakiwa kuvaliwa.Kijana ameenda kupunguza dhambiView attachment 2542307View attachment 2542309
Mambo ya Arsenal hayo, nilisema wakishinda nipigwe ban basi mpk dk ya 80 Arsenal kapigwa, doohh dk ya 90 wakarudisha zile dk za nyongeza wakaongeza cha pili, basi wana Arsenal wakamganda Active anilime ban nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu The best 007 pole kwa ban bana. Naona imeisha.
Hii mechi tunashinda asubuhi kweupeeeTunachohitaji leo Timu ya Wananchi ni points tatu pekee.
View attachment 2547243
Hahahaaa. Huyo mod katisha aisee. 🤣🤣🤣🤣🤣Mambo ya Arsenal hayo, nilisema wakishinda nipigwe ban basi mpk dk ya 80 Arsenal kapigwa, doohh dk ya 90 wakarudisha zile dk za nyongeza wakaongeza cha pili, basi wana Arsenal wakamganda Active anilime ban nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547288
Itakuwa vizuri sana hasa katika hizi mbio zetu za kuwa mabingwa kwa mara ingine.Hii mechi tunashinda asubuhi kweupeee
Mod atakuwa ni Arsenal damu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa. Huyo mod katisha aisee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alisahau huwa kuna utani pia saa ingine. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga atachukua ubingwa mara tano mfululizo, mpk waje wastuke kwamba mpira wa sasa hauhitaji mbambamba sio leo.Itakuwa vizuri sana hasa katika hizi mbio zetu za kuwa mabingwa kwa mara ingine.