Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo ndo ile siku Timu ya Wananchi tunakwenda kuchukua kombe lililobakia la ASFC. Tunajua wachezaji wamechoka sana lakini tunaimani watafanya jambo.

Kila la Kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
HAKIKA....!!!!

Daima Mbele, Nyuma mwiko

DAR YOUNG AFRICAN [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
 
Bila shaka huu ndo ulikuwa ni msimu bora mno kwetu timu ya wananchi na hatimaye tumechukua kikombe kingine cha ASFC.

Haya tunayategemea tena next season kwa ukubwa na ubora zaidi ya huu. [emoji123][emoji123]

#DaimaMbeleNyumaMwiko.

Sahauni next season
 
Mayele anabaki, nabi anabaki, kaze anaondoka anaenda kuwa kocha mkuu singinda big star, na Kizumbi hatui yanga, lkn yanga wanatafuta winger mmoja, Morrison anabaki lkn anapewa mashart mapya kweny mkataba....na nabi report yake itawekwa wazi juu ya wachezaji gani anawahitaji zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…