Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Wakuu macho yangu yanaona vizuri kweli?
Ni Suala La Muda Tu, Mtaanza Kuziimba Tena Zile Kauli Zenu Za "Yanga Ananunua Mechi".View attachment 2694020
Unaweza sema wapo serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi ianze hata leo
Kibegi maarafu kuliko siku ya UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Yanga haijawahi kushindwa jambo aisee,[emoji23][emoji23],MapemaaZamani tusha fika kileleniView attachment 2694289
Kabisa Mkuu hii imeenda.
Hii aione DullyJr . πZamani tusha fika kileleniView attachment 2694289
KItambo sana Mkuu.Ni Suala La Muda Tu, Mtaanza Kuziimba Tena Zile Kauli Zenu Za "Yanga Ananunua Mechi".
Tabu ipo pale paleHii aione DullyJr . [emoji28]
Tuko busy na UturukiMpo busy na kibegi ehhh ila UTO bana kwa kuiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hawataamini Mkuu Litapigwa Pira Amapiano Chini Ya Waziri Wa Raha "SKUDU" [emoji23]Kabisa Mkuu hii imeenda.
Na pia Yote kwa yote Jumamosi ndo siku ya kuwashangaza watu.
Nimekaribia Mkuu [emoji120]KItambo sana Mkuu.
Karibu tena. [emoji1666]
Kabisa Mkuu. πHawataamini Mkuu Litapigwa Pira Amapiano Chini Ya Waziri Wa Raha "SKUDU" [emoji23]