Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master Ki, Mtaalam Sana Huyu, Mwamba Kutoka Ouagadougou..[emoji91]
Leo WaDjibouti wataijua habari yake.Master Ki, Mtaalam Sana Huyu, Mwamba Kutoka Ouagadougou..[emoji91]
Kazi Wanayo Leo, Nasubiri Kuona Combination Yake Na Mtaalam Zuzwa Pacome [emoji91] Kama Gamondi Atawapanga Pamoja Leo.Leo WaDjibouti wataijua habari yake.
Tayari Mkuu.Kikosi bado wazee
Kabisa. Na kuna siku game zinamkataa kabisa yaani.Gamondi Bado Hajashtuka Kama Mzize Si Mchezaji Wa Dk 90 Huyu Huwaga Ni Super Sub
Mkuu Si Muda Mrefu Gamondi Atakuja Kuacha Kumuanzisha Mzize, Mzize Na Musonda Kuanza Pamoja Kwa Mtazamo Wangu Sidhani Kama Imekaa Poa Sana....Anyway Ngoja Tuone Kama Ulivosema Mkuu.Kabisa. Na kuna siku game zinamkataa kabisa yaani.
Ila ngoja tuone leo atafanya nini.
😁😁😁😁Kibabage vipi ashaanza kupewa majimama au nyeto kwanini nafasi yake aingie Faridi na sio yeye au Kibwana!?
Kibabage vipi ashaanza kupewa majimama au nyeto kwanini nafasi yake aingie Faridi na sio yeye au Kibwana!?
Tuliza nyege izo kwani wenzio ligi wamecheza mbona umsemei mumeo luis miqson ana goli ngapiJE WAJUA HAKUNA MCHEZAJI MPYA WA UTOPOLO ALIYEFUNGA GOLI HATA LA OFFSIDE[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]