Mzigo wa Mayele ni mzito sana mabegani kwake!Apewe ata counseling usikute presha ni kubwa sana kwake looh
😂😂😂Mwenye number za scout wa Yanga ni nani? nataka anifanyie scout maisha yangu [emoji119][emoji119]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hatari na nusu aisee.Mwenye number za scout wa Yanga ni nani? nataka anifanyie scout maisha yangu [emoji119][emoji119]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tumpe mdaHivi Musonda ni mzito au tumpe mda [emoji3166]
Al mereikh ataanzia nyumbanNani ataanzia nyumbani wakuu kati ya merreikh na YANGA?
Kwa Nini?Al mereikh ataanzia nyumban
Kwa Nini?
Ni kigezo hicho pekee wanatumia? Fresh ikiwa hivyo itakuwa vema sana mana wasudan na waarabu weupe wanapomalizia kwao huwa Wana mambo mengi sanaKwenye viwango vya Caf yanga yupo juu kuliko wasudan
Sijui anakwama wapi aisee?Tumpe mda
Mimi ni nani nipinge?Yanga tunawasha moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]mtu akijichanganya atakula 7
Nakusalimu sana MKuu pia, mchomekeo wangu Hauna mpinzani hapa nilipo Kuna jamaa wanasema "Wana Yanga bwana!!" Kila la kheri Kwa timu yetu!Mkuu nakusalimia.
Mi nimeshachomekea huku. [emoji23][emoji23]