Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

b64647fe-4794-4046-b102-b560947ff4fe.jpeg

Vipi Kuna pengo la kocha wa viungo mpaka Sasa pale kwa Mabingwa wa nchi Yanga Africa?🤔
 
Unaweza kusema tumefika kutokana na mtazamo wa haraka na matokeo tunayopata lakini kimbinu na kiufundi kulingana na falsafa yangu bado kabisa hatujafika pale ninapotaka . Tunatakiwa kuwa bora na kuweza kudumu katika ubora huo kwa msimu wote “

“ kila kitu kipo hapa cha kutufanya tuwe bora . Tuna uongozi bora , mashabiki wenye upendo na timu yao na kikosi chenye mseto mzuri kuweza kukifanya kuwa bora uwanjani . Hatuhitaji kuridhika kwa sasa ! Bado mapema na tena mtazamo wa kuridhika kwangu haupo labda msimu ukiisha . Muda wote tunapaswa kuwa na kiu ya kushinda na mchezo bora pia “

🗣️ Gamondi
 
Back
Top Bottom