Ndio ndio. πDada yake halaand
Kabisa leo watakomaIle siku ndo imewadia ya IHEFU kutuambia ule ushindi wa msimu uliopita dhidi yetu waliupataje.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hakika.Kabisa leo watakoma
Kwa kikosi chetu kilivyo sasa huwezi panga first eleven na ukapatia yaani kila siku kikosi kinakuwa tofauti.
Yupo kibabageLomalisa simuoni leo. π€
Yanga 1 - IHEFU 2Kuna habari gani?
Kabisa.....na timu ilionekana kurelax kama mechi ya mwaka jana.Nadhani ni wakati sasa wa kuwa tunaapproach game kama hizi na full force from first min of the game. Hii tabia ya kuanzisha squad players kwenye match za wakamiaji huwa inatucost points sana.
We have lost because we didn't learn the lesson from last season.
Wewe muzee kalale....Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
IhefuuuuuuuuuView attachment 2771885
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Nani akalale leo [emoji23] mapema yote haya.. Hebu tuburudike kidogo kwanzaWewe muzee kalale....