Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20231009-112337_Instagram.jpg
 
YANGA SC KIDIGITALI SASA NI BACK TO BACK AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Klabu ya Yanga Sc kwa sasa ndio timu iliyofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki na Kati katika ukurasa wake wa Instagram katika mwezi Septemba .

Battle la Mwezi wa 9 lilikuwa wao dhidi ya Al Al Ahly.

Idara iliyo chini ya Afisa Habari, Mawasiliano na Maudhui Ally Kamwe inapaswa kupewa kwa kuwa na muendelezo katika upishi wa maudhui ambayo yameeleta na kugeuza idara hii kuwa moja ya chanzo cha mapato ya klabu.
63cc22ac-e23f-4566-809c-2400c91e6caf.jpeg
 
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA

Al-Ahly
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup mara 1, Arab club champions cup mara 1, Arab Super cup mara 2 Fifa Club World cup nafasi ya 3,

TP Mazembe
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 5, Winners Cup mara 1 mwaka 1980, Caf confederation cup mara 2 mwaka 2016 na 2017 CAF super Cup mara 3 Fifa Club World cup nafasi ya 2 mwaka 2010,

Wydad Athletic Club
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 3, Winners Cup mara 1, CAF super Cup mara 1

Esperance de Tunis
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 4, Winners Cup mara 1, Caf cup mara 1 mwaka 1997 CAF super Cup mara 1 mwaka 1995

Mamelody Sundowns
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 1 mwaka 2016 na mwaka 2001 waliingia fainali, CAF super Cup mara 1 mwaka 2017

Enyimba
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 2 mwaka 2003 na 2004, CAF super Cup mara 2

Simba Sports Club
NGUVU MOJA, UNYAMA MWINGI
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 0,
Winners Cup mara 0,
Caf confederation cup mara 0
CAF super Cup mara 0
na Fifa Club World cup hawajawahi GUSA

😂🤣😂🤣
 
AZAM NI IHEFU ILIYOMJINI
UTOPOLO KAZI WANAYO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Baada ya kupakatwa Jana unakuja kulia kulia huku

182aa24e-6fad-4156-a14c-c493f71a7061.jpg

Kama jana nimepakatwa huku itakuwa ni kufanyaje sasa mdomo koma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
KWAMBIKU DERBY [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom