Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah ile move nimeumia sana ilikuwa 3 vs 1Japo ushindi umepatikana ile move Moloko kafanya uzembe sana ilikuwa atoe pasi mapema iwe goli.
Yaani ni utani ule, maji kujaa maji kupwaa....Daaah ile move nimeumia sana ilikuwa 3 vs 1
Mzize Dogo miyeyusho sana, Tunahitaji Serious Striker kabisa kaliba ya Mayele
Konkoni na Skudu nakukatalia wamecheza mechi ngapi?Hivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
Hawajacheza kwa sababu hawana kiwango cha kupewa muda mwingi!Konkoni na Skudu nakukatalia wamecheza mechi ngapi?
Hivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
Konkoni na Moloko ndiye wakupewa thank you, moloko bado anachz mpira wa kizamani kwenye ile nafasi yake, then tunaleta midfielder mwingine wa kuwapa changamoto Aucho na Muda, sina imani na viwango vya sureboy, mauya na mkude.....kisha nafasi ya konkoni tunaleta winga mwingine anayechz kisasa winga anayejua chenga, mwenye spidi na anafunga pia mfano yule kinzumbi wa mazembe anatufaa....khs kuwa na namba tisa wabaki tu mzize na musonda hao hao kwnz saiv magoli yanatoka popote kila mchzj akipata nafasi nzuri ya kufunga afunge hkn kutegemea mtu mmoja wa mwisho ndiye afunge.Hivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
Kuna dalili ya Singida kupigwa kuanzia 3 keshoMazoezi ya mwisho yamekamilika kwaajili yakumkabili kesho Singida Fountain gate, mchezo utaanza saa 12:15 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa…Forza YangaView attachment 2793957
Kuhusu Musonda, kocha alitoa ufafanuzi kabla ya kuanza mechi dhidi ya Azam kuwa ameumia mazoezini pamoja na Yao Kwasi.Hivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
Hivi ni kweli Skudu kaflopu au hapewi nafasi ya kucheza kama kina Mkude na MauyaHivi Musonda yuko wapi?
My observations kutoka mechi ya jana.
- Kocha alifanya dangerous experimentation ya kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao asili. Pacome, Job na Maxi
- Mudathir sio wa kuanza kati na Aucho, badala yake Pacome aanze nafasi ile Muda aingie baadaye
- Kennedy lazima aanze tu kwa kikkosi hiki, hatuna striker zaidi yake, pia angetusaidia kuwa kama winga
- Lazima tununue mawingi halisi na srtiker halisi dirisha dogo.
- Moloko, Skudu, Konkoni wapewe THANK YOU!
mm mwenyewe nawashangaaga wanaosema jamaa kaflop wakt kabla ya kuumia kule tanga alkw kwenye first eleven ya Gamondi ila baada ya kupona majeraha nafasi yake ilishachukuliwa na pacome na kwasasa ni ngumu kumtoa pacome kwenye kikosi cha kwanza maana anaubonda kweli kweli....na leo pacome atafanya mabalaa kama kawaida [emoji1]Hivi ni kweli Skudu kaflopu au hapewi nafasi ya kucheza kama kina Mkude na Mauya