Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Gamondi simuelewi kwa kweli....
Timu apewe Zahera tu.
Timu apewe Zahera tu.
Sawa Shemeji. 😀
Hamna timu hapoHaka katimu katapigwa 10.
Ni mazoezi tu hapa
Dahh haya matokeo yananikumbusha mbali.[emoji172][emoji169]
Hahahaaa. Bila shaka umekumbuka ile tarehe 05.11.2023. 😅Dahh haya matokeo yananikumbusha mbali.[emoji172][emoji169]