Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Nadhani imeisha Mkuu mana toka adhabu yake itolewe tumeshacheza game tatu.Wakuu hii game ya kesho The Tank atacheza? Au bado adhabu ya mechi 3 inaendelea?
Vs Dodoma Jiji
Vs Mtibwa Sugar
Vs Tabora United.