Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mayele sijui anajisikiaje huko alipo , Hana amani kila post yake insta watu wanamtania vibaya kashapoteza vyeo vyake kwa mashabiki.
Amebakia kuhaha tu hamna mwenye habari naye.

Sema sasa ndugu yangu haya mambo ya mpira yalivyo usishangae siku uongozi ukamrudisha kuja kuchezea tena Timu ya Wananchi.

Morison
Metacha.
 
Awepo wapi ndugu yangu. Anahangaika hangaika tu kuja kwenye game zetu.

Ile ya juzi na mwarabu alikuwepo pia Uwanjani.
Yupo hapa kwa matibabu baada ya kupata majeraha akaletwa hapa na Nabi ili apate tiba ya mazoezi kutoka kwa mtaalam wa tiba ya viungo wa Yanga. Ana mkataba na FAR Rabat!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…