adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kwani bado yupo Yanga ?Saivi BM3 ana enjoy na Yanga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado yupo Yanga ?Saivi BM3 ana enjoy na Yanga tu.
Amebakia kuhaha tu hamna mwenye habari naye.Mayele sijui anajisikiaje huko alipo , Hana amani kila post yake insta watu wanamtania vibaya kashapoteza vyeo vyake kwa mashabiki.
Yule mi hata nimeshindwa kumuelewa kwani hana timu?Saivi BM3 ana enjoy na Yanga tu.
Awepo wapi ndugu yangu. Anahangaika hangaika tu kuja kwenye game zetu.Kwani bado yupo Yanga ?
Jamaa anazidi kuwanyamazisha sasa ana confidence na utulivu langoni.Guede kama guede. 😀
View attachment 2918678
Yupo hapa kwa matibabu baada ya kupata majeraha akaletwa hapa na Nabi ili apate tiba ya mazoezi kutoka kwa mtaalam wa tiba ya viungo wa Yanga. Ana mkataba na FAR Rabat!Awepo wapi ndugu yangu. Anahangaika hangaika tu kuja kwenye game zetu.
Ile ya juzi na mwarabu alikuwepo pia Uwanjani.
Hili jamaa likitulia litaua watu! Beki gani wa ligi yetu atalikaba hili? Sasa hivi naona linaanza kujiamini sasa!Jamaa anazidi kuwanyamazisha sasa ana confidence na utulivu langoni.
Kabisa. Kidogo kidogo watabadilisha kauli zao juu yake.Jamaa anazidi kuwanyamazisha sasa ana confidence na utulivu langoni.
Ooh! Sikuwa nalijua hili. 🙏Yupo hapa kwa matibabu baada ya kupata majeraha akaletwa hapa na Nabi ili apate tiba ya mazoezi kutoka kwa mtaalam wa tiba ya viungo wa Yanga. Ana mkataba na FAR Rabat!
Yupo Tanzania kwa ajili ya matibabu.Yule mi hata nimeshindwa kumuelewa kwani hana timu?