Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unakikumbuka kikosi hichi?

1. Khamis Kinye
2. Yussuf Ismail Bana
3. Ahmed Amasha
4. Fred FedEx Minziro
5. Charles Bonfas Mkwasa
6 Juma Mkambi
7.
8 Sakilojo Chambua
9 Abeid Mziba
10. Makumbi Juma
11. Mohd Hussen Daima.

Wakati Lunyamila yupo biashara ya Shinyanga
Constantine kimamda yupo kwao Rwanda
Hapa Lunyamila alikuwa form 2 Buhangija sekondari na Nteze John alikuwa Buluba Sec.
 
Kwenye hili kombe tushundwe wenyewe tu.
Screenshot_20240419-074438_Instagram.jpg
 
Viva Young Africans [emoji172][emoji617][emoji169]

Niwatakie mchezo mzuri, twende tukawaheshimu wapinzani wetu tucheze Soka safi uwanjani, tuzingatie maelekezo ya kocha vizuri na mbinu zake (Gamondi Ball)

Tuachane na Propaganda za mitandaoni zitatutoa mchezoni, soka linachezwa uwanjani

Wakijichanganya wakaingia kwenye mfumo, basi maelekezo ni kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu..

Kuku wetu aliekula mchele asubuhi, jioni tutamla na Wali!

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#KariakooDerby
#MimiNiYanga
#Mwananchi
#NbcPremierLeague23/24
 
Utopolo bila penati na goli la offside ni gwambina Tu😂😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸🐸
 
Back
Top Bottom