Ya jamuhuri ya muungano.Yanga inatumia katiba gani kwa sasa?
azam wataionyesha hii match?Hatimaye ile siku imewadia ya kucheza na wakubwa wenzetu.
View attachment 3046951
Ndio Swahiba.azam wataionyesha hii match?
Itakua poa sana swahiba,ngoja tuvute muda wa kujidai na Yanga yetuNdio Swahiba.
Kabisa yaani.Itakua poa sana swahiba,ngoja tuvute muda wa kujidai na Yanga yetu