Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa lile pira la jana huko Makundi tutatoboa kweli wakuu?
Haha! wachezaji walikuwa wanacheza huku hawataki kuumia nafikiri walikuwa na maelekezo yakwamba wajitahidi wasipate majeraha!, vilevile tumetoka kwenye kipindi cha mchanganyiko timu bado haina muunganiko maana makocha wameingia nakutoka kwa kipindi kifupi sana so mbinu za kila kocha wachezaji kuzivaa itachukua muda!.

mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa itaenda kuzungumza mengi let's watch....
 
Nawafungwe,Mungu usibariki watawala wa Tanzania wasio halali pamoja na wafuasi wao
 
Haha! wachezaji walikuwa wanacheza huku hawataki kuumia nafikiri walikuwa na maelekezo yakwamba wajitahidi wasipate majeraha!, vilevile tumetoka kwenye kipindi cha mchanganyiko timu bado haina muunganiko maana makocha wameingia nakutoka kwa kipindi kifupi sana so mbinu za kila kocha wachezaji kuzivaa itachukua muda!.
Hiyo nayo yaweza kuwa sababu japo viwango vya wachezaji naviona kama vipo chini au ndio hawajachanganyia bado? 😃
mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa itaenda kuzungumza mengi let's watch....
Yah! Japo ukifananisha vile tumecheza kwenye zile game za preliminary round ni tofauti na tunavyocheza kwenye ligi.

Yaani kule walau tunajitutumua ila huku kwenye Ligi. Mmh.
 
Hiyo nayo yaweza kuwa sababu japo viwango vya wachezaji naviona kama vipo chini au ndio hawajachanganyia bado? 😃

Yah! Japo ukifananisha vile tumecheza kwenye zile game za preliminary round ni tofauti na tunavyocheza kwenye ligi.

Yaani kule walau tunajitutumua ila huku kwenye Ligi. Mmh.
wacha tuone...
 
Viongozi wamshauri kocha kama Mdadhiri bado mgonjwa midfield wacheze Duke na Sure boy, kumchezesha Max namba 8 unalimit uwezo wake wa kufunga na ku assist pia timu inakuwa butu kwenye ushambuliaji
 
Duke hafai kuziba pale namba 6
 
Duke hafai kuziba pale namba 6
Tokea aondoke aucho hatujapata namba 6 mzuri wa kuzuia na kuchezesha timu, Sure boy, Mudadhiri na Duke ndiyo wana afadhali kwa mazingira ya sasa, wachezaji waliosajiliwa siwaoni waki click ni kama timu imekuwa kubwa kuliko mentality na uwezo wao!
 
Kwa lile pira la jana huko Makundi tutatoboa kweli wakuu?
msimu huu tusiwe na matarajio makubwa, na kinachoniboa ni Eng Hersi anavoaminisha watu kwamba yanga hii iliyoanza msimu haitakuwa yanga itakayocheza mechi za makundi yani anafanya kama vile sisi hatuoni timu inavocheza, bora anyamaze tu..
 
IMG_2497.jpeg

Hivi Yanga kwann wanapenda sana hizi kesi..
 
Kwa lile pira la jana huko Makundi tutatoboa kweli wakuu?
hii yanga ilikuwa inahitaji nafasi za wachezaji watatu tu wa kigeni kuziba nafasi za Ki, Ikangalombo na Musonda, ambapo apo ingefaa wachukuliwe ecua, doumbia na balla conte tu, kisha wengine wote wangebaki na kocha yule yule miloud hamdi na benchi lake lile lile…hii timu ilikuwa haihitaji mabadiliko makubwa hivyo timu tayari tulikuwa nayo, ona sasa timu ilivokuwa..
 
msimu huu tusiwe na matarajio makubwa, na kinachoniboa ni Eng Hersi anavoaminisha watu kwamba yanga hii iliyoanza msimu haitakuwa yanga itakayocheza mechi za makundi yani anafanya kama vile sisi hatuoni timu inavocheza, bora anyamaze tu..
Kabisa yaani. Na mpaka sasa sijajuaga hizi sajili huwa na baraka ya nani mana msimu huu kiukweli tumepatwa.
 
Back
Top Bottom