Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mechi ya prison waliohamisha uwanja kutoka Sokoine kwenda Tabora
Wamevunja kanuni taarifa ya kuhamisha uwanja inabidi itolewe kabla ya siku 21 au 7 Sasa wao wametoa taarifa Jana
Kwaiyo sisi Yanga hatuchezi hiyo mechi, tunajiandaa na game ya Azam tarehe 15
Sawa mkuu lakini sio prison ambae ameamua kubadili uwanja. Ni bodi ya ligi ndo ilimtaka abadili kiwanja. Mfano angechagua dodoma au jamhuri moro, vipi yanga asingeenda?🤣
 
Ikiwa kinyume na kanuni ya kutoa taarifa kabla ya siku 7 tusingeenda
 
HIzo siku saba au 21 ni kama umeamua kubadili uwanja wewe mwenyeji, ila kama kuna sababu maalumu kama hivyo kiwanja kufungiwa au wenye uwanja kuwa na matumizi nao ya ghafla unaruhusiwa kubadili uwanja hata zikibaki siku nne.

Yanga hataki kwenda tabora kwasababu ya logistics za kufika huko na kurudi ukizingatia tarehe 15 ana mechi na Azam ndomana anafanya manuva mechi ihairishwe. Lakini kikanuni kilichofanyika kubadili uwanja kiko sawa regardless ya siku hizi saba au 21
 
Kanuni inakataza kubadili uwanja bila kutoa taarifa
Yanga hadi Sasa hawana taarifa rasmi za kubadili uwanja
Kesho mechi inàanza Kwa pre match meeting, Yanga hatafanya maana ndege zimejaa
Jambo ni Moja tu wabadili siku ya mchezo au hatuchezi
 
🤣Isipochezwa hii mechi Azam na simba wataongea sana. Maana Azam ataona Yanga ana advantage ya kupumzika siku nyingi kuelekea mechi yao ya tarehe 15
 
yanga ikubali tu kucheza mchezo huo, iwaingize wachezaji wote muhimu kipindi cha kwanza,wasake magoli angalau mawili tu kisha iwatoe wote waingize kikosi b.
 
C
Nakubali kuwa Yanga ni timu yenye rekodi nzuri kuliko yote hapa nchini!

Yote kwa yote kitendo cha Jumapili ni fadhaa kwetu wapenzi wa Yanga na sasa itabidi tukae miaka mitatu nje ya kandanda ya CECAFA! Viongozi tulionao hawaona upeo hata kidogo.

Nadhani kuna mengi ya kujivunia lakini kwa miaka ya karibuni tumekuwa hatupati ile raha tunayostahili.
Cecafa uharo tuu, iko wapi leo
 
🤣Isipochezwa hii mechi Azam na simba wataongea sana. Maana Azam ataona Yanga ana advantage ya kupumzika siku nyingi kuelekea mechi yao ya tarehe 15
Mkuu tatizo ni kanuni
Bodi ya ligi hawajielewi
Huwezi kuitangazia timu ya Dar ikacheze Tabora kabla ya siku 2.
Huku sio Ulaya,
Binafsi nitawadharau viongozi wa Yanga wakiamua kucheza hii hii game katika mazingira magumu hivi
 
yanga ikubali tu kucheza mchezo huo, iwaingize wachezaji wote muhimu kipindi cha kwanza,wasake magoli angalau mawili tu kisha iwatoe wote waingize kikosi b.
Tatizo sio kucheza tatizo ni kanuni
Haya Yanga wanafikaje Tabora na ndege imejaa
 
Screenshot_20260312_132548_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom