Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Koloz wakiuona msimamo watazidi kuumia swahiba 😂Hivi mpaka sasa msimamo ndo upoje swahiba? 🤣
Koloz wakiuona msimamo watazidi kuumia swahiba 😂Hivi mpaka sasa msimamo ndo upoje swahiba? 🤣
Kupata sare na Azam ni matokeo fair kwetuWakati simba ikiwa kwenye peak yake hakuna mtu aliamin itadondoka ilianza taratibu kwa mpira mbovu usiovutia lakn wanapata matokeo ya bao 1 marazikaanza sare
Wenye jicho la mbal walipoanza kusema walitukanwa sna kuwa wanania ovu na timu yao
Leo nam naiona yanga taratibu inashuka kwenye peak yake najua nitanyoshewa kidole ila ukwel mdogo mdogo yanga inadondoka
Inatakiwa jambo lifanyike wachezaj weng umri umesogea hawawez panya kama miaka 4 iliyopita
Bahat mbaya hata sajir mpya haziingi kwenye kikosi wachache sna wanaingia eng inabid ashirikishe wataalm zaid kupata talents zitakazo endana na mfumo ili zije kufit na mfumo
Kocha nae sisem sna ila anajilinda sana yeye kwake kila timu n kubwa hautuon ile expansive football ya zamn mda mwingi tunashika mioyo yetu
Hao mbumbumbu wanafungika hata acheze akina ShekhanKuelekea tarehe 03.05.2026 kwenye Kariakoo Derby Wananchi wenzangu hivi hawa Majeruhi wetu watakuwa wamesha recover kweli?
Au kikosi tulichonacho kinaweza kutuletea ushindi mbele ya 5imba siku hiyo?
Ooh. Sawa Mkuu.Hao mbumbumbu wanafungika hata acheze akina Shekhan
Waliopo pekee ni balaa toshaKuelekea tarehe 03.05.2026 kwenye Kariakoo Derby Wananchi wenzangu hivi hawa Majeruhi wetu watakuwa wamesha recover kweli?
Au kikosi tulichonacho kinaweza kutuletea ushindi mbele ya 5imba siku hiyo?
Ile mechi ya kwanza walitusumbua sana mikia.Waliopo pekee ni balaa tosha
Hii hawatokiIle mechi ya kwanza walitusumbua sana mikia.
Ile siku sikuamini macho yanguIle mechi ya kwanza walitusumbua sana mikia.
Yaani tulipumulia mashine mwanzo mwisho aisee.Ile siku sikuamini macho yangu
Na ile mwanzo mwanzo wangepata bao tungeaibika siku ile. LolIle siku sikuamini macho yangu
Let's wait and see Mkuu.Hii hawatoki