Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mudathir tayari anaikosa Derby baada ya bodi ya Ligi kumfungia mechi tatu. 😒
1776689203544.png
 
Yah mechi ni ngumu
Lakini nikwambie tu hii Simba inafungika.
Kuna sehemu inavuja
Subito uone game Bado siku 12
Ile approach walioingia nayo wakiingia nayo tena tunapoteana mkuu tutaomba mpira uishe. Hatuna kocha wa kutufanya tutembee kifua mbele kwenye mechi kubwa.
 
Viongozi wa Yanga wapewe salute zao, vita wanayopigana nje ya uwanja kuchukua ubingwa ni ngumu mno🙌🙌🙌🙌

Kuna wachambuzi wa vimemo vya 10k, kuna TFF na baadhi wa wajumbe wa bodi ya ligi welioko connected na 🦍🦍🦍
 
Back
Top Bottom