Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
HahahahaEdmund ile takataka! Msimu uishe arudi kwao!
HahahahaEdmund ile takataka! Msimu uishe arudi kwao!
Duke wa kawaida mzee ile ni Mali mtu kaja na kapata Namba ya kudumu yaan upange unavyojua wewe huyu haanzi Bench Damato na Mudathir watachaguana nani akae njePale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Damaro na DUBE Hawa hata iweje hakuna kuuza MkuuPale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Na MAX pia mkuu wewe mpira unanamna yako ya KuutizamaPale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Naheshimu mtazamo wako mkuuNi kweli wa kawaida,ila aina ya mchezaji kama yeye na uchezaji wake ,anafaa kwa Yanga
Dube sio clinical finisherDamaro na DUBE Hawa hata iweje hakuna kuuza Mkuu
Dube anaweza kuwa na match mbaya nyingi ila jana kidogo amuue FoBA NA ile bao ya PACOME kama ingezama alivyoshot ilikuwa balaaa
Max hamna kituNa MAX pia mkuu wewe mpira unanamna yako ya Kuutizama
Lkn anajua kuunga timu na kukaa Maeneo husika , tatizo ni Moja tu sio katili goliniDube sio clinical finisher
Anakosa magoli mengi mno
Huko CAFCL hutopata nafasi 8 za wazi ndo ufunge kule mechi nzima unaweza pata nafasi 1 na laZima unitumie vizuri
Unaweza kuwa sahihi, ila sasa kwa mpira huu wasasa ni ngumu sana kumpata Complete Striker, Binafsi naona DUBE ni mchezaji wakukeep, anakupa vingi akiwepo hata Mabeki unaona wanapata Jamba jamba kabisa ntoe aingie DEPU uone watu wanaweza juomba mkeka walaleDube sio clinical finisher
Anakosa magoli mengi mno
Huko CAFCL hutopata nafasi 8 za wazi ndo ufunge kule mechi nzima unaweza pata nafasi 1 na laZima unitumie vizuri
Sawa sawaUnaweza kuwa sahihi, ila sasa kwa mpira huu wasasa ni ngumu sana kumpata Complete Striker, Binafsi naona DUBE ni mchezaji wakukeep, anakupa vingi akiwepo hata Mabeki unaona wanapata Jamba jamba kabisa ntoe aingie DEPU uone watu wanaweza juomba mkeka walale
Mpumelelo sio wakuachwa
Max kivipi mkuuPale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Hapa watalia kila aina ya milio mara Marefa wananyonga kolo, mara Bahasha mara GSM anaharibu ligue mara tumeshuka kiwango yaan itafika mahali watahamia Zenji hawa ligi ya urojoTunajitayarisha KOMBE KUJA TENA NA TENA JANGWANI.
COME ON YANGA...
Hakika.Hapa watalia kila aina ya milio mara Marefa wananyonga kolo, mara Bahasha mara GSM anaharibu ligue mara tumeshuka kiwango yaan itafika mahali watahamia Zenji hawa ligi ya urojo
Ukweli mtupu. Wapi shemela Shadeeya ...Tunajitayarisha KOMBE KUJA TENA NA TENA JANGWANI.
COME ON YANGA...
Shemela za miaka?Yangaaaaaa.
Yangaaaaaa.