Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Nipo Shem leo huku ni mwendo wa kufurahi tu Shemela.Ukweli mtupu. Wapi shemela Shadeeya ...
Nipo Shem leo huku ni mwendo wa kufurahi tu Shemela.Ukweli mtupu. Wapi shemela Shadeeya ...
Ila Shemela ulijua kuadimika bana. Lol.Ukweli mtupu. Wapi shemela Shadeeya ...
Nzuri tu shemela, kwema lakini pande hizo?Shemela za miaka?
We acha tu shemela.Ila Shemela ulijua kuadimika bana. Lol.
5 in row now.Yanga again!!!!!!!
Wacha aindoke ni mchezaji wa daraja la kawaida mnoMwanamfalme kweli umeamua Kusepa Yanga, Licha Ya Klabu kukupatia mkataba mara kadhaa
Hili limeniuma sana DUBE nilimkubali sana
Nilshakwambia sokoni hakuna Striker Complete kwasasa na ni suala la Dunia, DUBE hata kama Hafungi anaoffer vingi sana mkuuWacha aindoke ni mchezaji wa daraja la kawaida mno
Nasikia yule mrundi wa SBS anakuja.Nilshakwambia sokoni hakuna Striker Complete kwasasa na ni suala la Dunia, DUBE hata kama Hafungi anaoffer vingi sana mkuu
thebizlens.co.tz
Swahiba upo kumbeYanga Bingwa.
View attachment 3619156
😂😂😂Swahiba upo kumbe
Niende wapi Swahiba.Swahiba upo kumbe
Kule hapa hapa sikuoni siku hizi,au umenitia kwenye kufuli 😀Niende wapi Swahiba.
Hahahaaa! Hamna kitu kama hicho Swahiba.Kule hapa hapa sikuoni siku hizi,au umenitia kwenye kufuli 😀
Kweli,nashindwa kuingiaHahahaaa! Hamna kitu kama hicho Swahiba.
Mie nipo.
Yanga tetesi za usajili imekuwa Siri kubwa mno