Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kati ya vitu vya kijinga vinavyofanyika kwenye klabu zetu ni kuamini mtoka nje ni bora kuliko mzawa.
Naona Yanga wamemrudisha Rostand mwingine kwa jina tofauti.

Hivi pale Yanga kuna mtu anajituma kama Ben Kakolanya?

Yale magoli ya kijinga namna ile Ben asingeruhusu.
 
Kakolanya Hakuwpo wakati wa maandalizi ya mechi, alikuja kikosini siku moja kabla, kwa hiyo alishindwa kumpanga kikosini, haya ni maelezo ya KOCHA.
 
Kakolanya Hakuwpo wakati wa maandalizi ya mechi, alikuja kikosini siku moja kabla, kwa hiyo alishindwa kumpanga kikosini, haya ni maelezo ya KOCHA.

Lakini Kakolanya kajibu kwamba kwa wiki nzima alifanya mazoezi na timu. Wasiwasi wangu isije kuwa Ukongomani unatumika katika upangaji wa timu badala ya uwezo wa mchezaji.

Ila yule kipa uwezo wake ni mdogo labda aendelee kujifunza zaidi, na inashangaza kusikia eti huyo ndiyo kipa namba moja wa Yanga, hope this is not true
 
Msimu huu vichomi wajipange ama sivyo inakula kwao, Kuala lumpar imerudi mjini
 
Kakolanya Hakuwpo wakati wa maandalizi ya mechi, alikuja kikosini siku moja kabla, kwa hiyo alishindwa kumpanga kikosini, haya ni maelezo ya KOCHA.

Mbona alimuweka akiba? Vipi Klaus angeumia DKK za mwanzo
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…