Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kila la kheri Yanga yetu

Huu ni upepo tu, utapita tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Namna ya Yanga kuwafunga Gormahia....

"Ingekuwa Gormahia hawaijui bongo wakija tungewashushia kigoma airport. Tia kwenye basi hadi kahama, Nzega, igunga, singida kula kushoto babati tokea Arusha moshi. Ingia mombo korogwe hadi msata .zama bagamoyo tegeta mpaka mwenge.Makumbusho mpaka posta.vusha kigamboni kongowe majimatitu hadi mbande kule.tukifika Buza kula kushoto hadi jeti. Tunazama mpaka kinyerezi.tunaenda kuwalaza mbezi malamba mawili. Kisha tunawaambia mechi IPO Sokoine Mbeya"

Kweli watatoka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo tena tunatupa karata yetu nyingine sisi wa kimataifa. Mbali na yote naitakia ushindi timu yangu pendwa najua hao Gormahia walitupa kipigo mechi iliyopita ila bado hatujakata tamaa.

Kila la kheri Yanga.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Umesahau Kuwa Karata Mulizobakia Nazo Ni Magarasa tu ndiyo munayoendelea Kutupa!
By the way Subirini tena maumivu na Leo.
 
Umesahau Kuwa Karata Mulizobakia Nazo Ni Magarasa tu ndiyo munayoendelea Kutupa!
By the way Subirini tena maumivu na Leo.
Hilo sio tatizo mtani.

Kuhusu maumivu hamna mbaya pia kwani hiyo nayo itakiwa ni sehemu ya mchezo.
 
Back
Top Bottom