Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Amini kwambaRatiba ya leo ya ZBC2 haioneshi uwepo wa hiyo mechi japo CAF wameorodhesha ZBC2 kuwa miongoni mwa ch zitakazoonesha mpira huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini kwambaRatiba ya leo ya ZBC2 haioneshi uwepo wa hiyo mechi japo CAF wameorodhesha ZBC2 kuwa miongoni mwa ch zitakazoonesha mpira huo.
Yanga wanazurula tu uwanjani. Tayari amekalia Fimbo mojaNasikia Yanga wanaongoza..
Ina maana kabla ya hii mechi, ulikuwa haujawahi kuiona Yanga na Gor Mahia katika runinga?Hizi team ukizisoma kwenye magazeti na ninachokiona supersport 7 mida hii huwezi amini kabisa.
Aisee..HT 2-0
Tuyisenge 22'
Guikan 45' + 1