Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dakika ya 5 gor mahia 0 yanga 0
IMG-20180718-WA0036.jpg
 
Hizi team ukizisoma kwenye magazeti na ninachokiona supersport 7 mida hii huwezi amini kabisa.
Ina maana kabla ya hii mechi, ulikuwa haujawahi kuiona Yanga na Gor Mahia katika runinga?
 
Nilitaka kushangaa kua kweli yanga wakae nymb bila match za kujenga fitness afu wanasema wanajiandaa na match ya kombe la shirikisho. Labda sio mpira wa miguu ninaoufahamu mimi.
Yanga mgeshinda ili game kweli mgekua mmegundua kitu kipya.
Hongera mmevuna mlichopanda wazee wa 4G
 
Hivi hii team aina wenyewe au wenyewe wapo wakati wa kuchagua vviongozi kwenda kupinga mahakamani. Wakati huu ndio muda muafaka wa kuonyesha kuwa wao ndio wenye timu.
 
kuna ule usemi ume trend sanaaa "watapata tabu sana" sasa sijui alie uasisi ana utani na young africa...

Namkumbuka mzee mmoja kijijini kwetu rafiki wa baba angu alikua ni mnazi sana wa yangaa na kumbuka matambo yake eti marehemu pepe Kalee ali itungia wimbo timu moja tuu africa "young africa"...ana imbaa oh...ooh ooohh....yangaaa africaaaaaa Utampendaaa tena akiwa amepiga ulabuuu..........

Nakumbuka udogoni udogon mzee wangu ni mnazi wa simba niliwai sababishaa mzee wangu aka acha kutununulia sodaa familia nzima kisa nil semaa naishabikia yangaa...

Wata pata tabu sanaa....
 
Hili li timu lazima lishuke daraja nalo li simba liliponea chupuchupu bora sisi mashabik wa prison ya mbeya hatuna presha
 
Back
Top Bottom