Nakwambia kama ni wa kufungwa anafungwa tu, hakuna kirumba wala taifa. Yanga timu ya wananchi siyo ya mchezo mchezo, huwezi fananisha na wengine. Tena mikia fc wanaombea yanga ifungwe ila ni dua la kuku hilo.Mbona kirumba mlipigwa 2 kavu acha unafiki kuwa mkweli. Ni kweli kafunga goli zuri lakini ni zilipendwa lilishapigwa na wachezaji kibao hapa bongo hamsemi.
Chuki tu ya goli ambalo unafanyika mpango lipitishwe ili watu waweze kuombea mikopo katika taasisi tofauti za fedha.Hahaaaa anasahau kuwa kwa sasa Simba ndio team yenye hela ndefu, walishindwaje kutoa mlungula wao?
Sisi hatuombi mkopo wala nini, tunapitisha bakula wenye roho nzuri wanatuchangia basi mambo yanakwenda, tunaendelea kushindana na wenye nazo.Chuki tu ya goli ambalo unafanyika mpango lipitishwe ili watu waweze kuombea mikopo katika taasisi tofauti za fedha.
Hao wa zamani tumewachia nyieMbona kirumba mlipigwa 2 kavu acha unafiki kuwa mkweli. Ni kweli kafunga goli zuri lakini ni zilipendwa lilishapigwa na wachezaji kibao hapa bongo hamsemi.
KMC,Zamu ya nani leo...........
Sana, sisi wavibakuli na wenye nazo ngoma draw, uwanjani hatari.Watani zetu watutania sisi wazee wa vibakuli
Lakini licha ya vibakuli vyetu lakini uwanjani kazi wanaipata
Habri wanazo na msimu huu hatufumgwi
Haisaidiii Mkuu watuache na Mabakuli yetu mwisho wa siku Msimamo ndio unaongea. Hahaaaaa.Watani zetu watutania sisi wazee wa vibakuli
Lakini licha ya vibakuli vyetu lakini uwanjani kazi wanaipata