Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona kirumba mlipigwa 2 kavu acha unafiki kuwa mkweli. Ni kweli kafunga goli zuri lakini ni zilipendwa lilishapigwa na wachezaji kibao hapa bongo hamsemi.
Nakwambia kama ni wa kufungwa anafungwa tu, hakuna kirumba wala taifa. Yanga timu ya wananchi siyo ya mchezo mchezo, huwezi fananisha na wengine. Tena mikia fc wanaombea yanga ifungwe ila ni dua la kuku hilo.
 
Hahaaaa anasahau kuwa kwa sasa Simba ndio team yenye hela ndefu, walishindwaje kutoa mlungula wao?
Chuki tu ya goli ambalo unafanyika mpango lipitishwe ili watu waweze kuombea mikopo katika taasisi tofauti za fedha.
 
Back
Top Bottom