Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*

*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*

Daima mbele nyuma mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…