Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yani nikwamba hata FIFA inajua mpaka sasa DUNIANI timu ambazo bado hazijapoteza mchecho ni 3TU
1)Liverpool
2)young Africans
3)Azam
Yani hii inajulikana duniani kote
Yanga piga keleleeeeeeeee[emoji123][emoji123]

Unamaanisha mchezo gani?

Juve umewafunga wewe?
 
Toa liverpool hapo. Ameshaonja machungu ya kufungwa. Liverpool kafungwa na Napoli
Yani nikwamba hata FIFA inajua mpaka sasa DUNIANI timu ambazo bado hazijapoteza mchecho ni 3TU
1)Liverpool
2)young Africans
3)Azam
Yani hii inajulikana duniani kote
Yanga piga keleleeeeeeeee[emoji123][emoji123]
 
Unaniita boya kwa kigezo kipi? Au umishazoea kutukana watu? Jamaa hakuaniisha kama kufungwa kwenye mashindano yote au kwenye domestic league tu bali amesema FIFA inatambua. Kama kwenye ligi kuu hata Juve na PSG hajafungwa pia. Unatoa tusi pasipo kufikiria au kwavile nimesema liverpool kaishaonja kipigo ndio povu likutoke namna hiyo.
Ongelea EPL boya wewe
 
Yani nikwamba hata FIFA inajua mpaka sasa DUNIANI timu ambazo bado hazijapoteza mchecho ni 3TU
1)Liverpool
2)young Africans
3)Azam
Yani hii inajulikana duniani kote
Yanga piga keleleeeeeeeee[emoji123][emoji123]
Piga keleleeeee................
 
Back
Top Bottom