Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii in kama enzi hizo una kademu kakali balaa umetoka kukapokea stendi unaenda nako geto, kuna wakati unakatanguliza hatua kadhaa mbele watu wanakatolea mate kinoma humo njiani na wewe unakatathimini kwa nyuma kabla ya kwenda kukalamba
Duh! waqt ule ilikuwa ndio mitindo yetu hiyo
 
Hii in kama enzi hizo una kademu kakali balaa umetoka kukapokea stendi unaenda nako geto, kuna wakati unakatanguliza hatua kadhaa mbele watu wanakatolea mate kinoma humo njiani na wewe unakatathimini kwa nyuma kabla ya kwenda kukalamba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sasa tuna huyu mwamba
 
NUKUU ZA ZAHERA LEO JIONI.

- Timu yangu imecheza ovyo sana lakini nashukuru tumepata ushindi.

- Jana ilikuwa dirisha dogo la usajili linafungwa ni siku ambayo uongozi wa Yanga umefanya vitu vya ovyo sana.

- Nilifikiria kuwaachia timu yao , ila nikambuka jinsi wanachama wanavyoipenda timu yao nikaamua kubaki.
- Sipo Yanga kwa ajili ya pesa, nipo kwa ajili ya kuipambania timu hii kutokana na mashabi wanavoipenda timu na ushirikiano wanaonipa.
- Siku ya Alhamisi niliambiwa wamewasainisha tayari Mshambuliaji wa Uganda, kipa wa Kenya na winga wa Mwadui. Niliwapongeza kwa hilo.
- Jana usiku saa 5, napigiwa simu na mshambuliaji mganda kuwa amesaini Egypt nikawauliza viongozi wa Yanga wakanijibu wamefanikiwa mchezaji mmoja tu ambaye ni Haruna Bobani.
- Tulikubaliana kuwa mzunguko wa kwanza tusifanye usajili mkubwa, ila dirisha dogo tusajili walinipa masharti kuwa niwe nafasi ya pili au tatu.
- Kwa mambo haya wanayofanya, nisiulizwe kuhusu ubingwa wala nikipoteza mchezo dhidi ya Simba maana viongozi ni wababaishaji.
- Reuben Bomba ni mreno pia ana uraia wa Congo ni mchezaji mzuri sana, na tulikubaliana apewe mkataba wa miezi sita, kwa kuwa alikuwa anaenda ulaya na alikuwa anasubiria viza yake, lakini nashangaa kwenye mitandao viongozi wanadai mimi ndo nimemkataa. . ntamkataa vipi mchezaji mzuri kama yule.
- Timu haina hela wachezaji wana matatizo mengi na hawajui lini watalipwa lakini wanacheza kwa moyo wote, angalia Makambo hajalipwa hata sent ya usajili na juzi hapa mizigo yake ilizuiliwa hotelini kwa kuwa hajalipa gharama za chumba.
- Niliwaambia waniletee kipa wa Kenya, wanasajili kipa hata simfahamu na wala sikumpendekeza hata sijui anaitwa nani na anatoka wapi hii ndo huwa naita kitu ya ovyo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Woyeeeeeeeeeee woyeeeeeeee woyeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Woyeeeeeeeeeee woyeeeeeeee woyeeeeeeeeeeeeeeee!!
YANGA HII NI DHARAU, MWINYI ZAHERA Kazi dar mapumziko ufaransa,,wakati mbelgiji wa simba kakusanya familia yote baba,mama,mjomba,shangazi wooote wanaishi msimbazi,na kuna hatari krismas huenda akalia dar,,pesa si mpango,mpango ni matumizi
 
Wewe acha tu, maisha hayana formula, kupanga ni kuchagua
 
YANGA HII NI DHARAU, MWINYI ZAHERA Kazi dar mapumziko ufaransa,,wakati mbelgiji wa simba kakusanya familia yote baba,mama,mjomba,shangazi wooote wanaishi msimbazi,na kuna hatari krismas huenda akalia dar,,pesa si mpango,mpango ni matumizi

Ha ha ha yule Mzee anavyoonekana ni mbahili sana hivyo hawezi kutoa hela aende ubelgiji kirahisi rahisi asee. Ndevu tu hanyoi kwa sababu ya kubana matumizi ataweza kwenda ubelgiji kirahisi rahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…