Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Pole sana. Najua mzuka utaupata Algeria na kwa Wacongo. 😜😜

Poleni Sana Kwa Msimu huu kumaliza Kapa tena.
Nawashauri tu kuwa Msimu huu Mumwachie Mnyama atambe!
Nyinyi Jikiteni Zaidi kwenye Michango ya kuichangia Timu ili mujenge timu kwa ajili ya Msimu ujao.

Kiukweli Yanga imeshajifia Zamani imebakia kutapatapa tu.

Simba ni watu wenye Huruma sana na Ndiyomana tukaepusha maafa kwa kutokuwapiga Nyingi hatimae tukawapiga واحد (Wahid) tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…