Haiwezi yakabaki hivyo. Nina imani ushindi kwa Wananchi bado upo.
Hacha tusubirie, mda utaongea!!Haiwezi yakabaki hivyo. Nina imani ushindi kwa Wananchi bado upo.
Haya bana MtaniHakika Mtani, maana mshinde msishinde hainizuii kuchukua ubingwa.
unaonaje tu bet kabisa mimi FT 0-0Eti eeee? SAFI SANA MTANI
Exactly
Halftime tayari sekunde chache zimepita.Updates jamani, halftime bado?
Mbona unaongea mwenyewe sa Mtani? NANI KAKUVURUGA 🙈🙈Hawa vyura kipigo kinawahusu vinginevyo sare za wanafunzi
Wanajituma kufanyaje ht 0-0Tshishimbi na Paul Godfrey wanajituma sana
Half Time
0 - 0
Kweli Mkuu.Tshishimbi na Paul Godfrey wanajituma sana
Wacha hizo bana. Ushindi upo hata bila hata PenaltiMsipopata penati nyingine mechi itaisha hivi hivi.
Kama kawaida yenu mnaenda kuweka mambo sawa M-PESA ili wawalegezee kipindi cha pili, kweli simba hana mpinzaniHalf Time
0 - 0