Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Makambo anapiga penati utadhani hajala chakula cha mchana! Dk ya 8 kwa hawa wanafunzi wa sekondari wangetoka kabisa mchezoni! Sasa hakuna namna inabidi tu kuendelea kupambana. Wakati mwingine apewe Yondani. Huyu hana mambo ya kijinga jinga anapokua kazini.
 
Yaani tangia kashika mpira mie nilijua anapaisha tu sababu huwa anajiamini kupitiliza kumbe atampigia kipa mikononi.
 
Back
Top Bottom