Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

sie waleeee...
Wenzetu wamechutama hye hye hyeeeeee
 
Mkuu hiyo namba kumi (10) nasikia iliwahi kuchana nyavu kwa shuti la mguu wa kushoto ni kweli hiyo stori?:becky:

Ya kweli mkuu hayo pia alishawai kumteuwa mkono kipa mmoja anaitwa BWAJU alikuwa anachezea timu moja inaitwa Rover Fire(Msimbazi Rover) mechi ilichezwa uwanja wa karume, na kuna kituko kimoja kilitokea siku mechi ya Yanga na COASTAL UNIONI ya Tanga Kipa alikuwa Hamis Mduruma (Mbwana Kaka) aliuliza Sembuli acheza akaambiwa acheza, akasema basi mshikine yeye tu wangine waacheni sasa akija kutokea penati aksema nani apiga akaambiwa SEMBULI akuchukua mpira kauleka kati aksema goli tayari, wachezaji wenzie wakumuambia wacha hizo ngoja akija apige, alipokuwa anapiga akalala chini kuupisha mpira upite, nyavu zilipochanika kasema sasa mwaona nyie mlitaka aniuwe
 
chonde chonde viongozi na wachezaji wa Yanga.
Kama kuna mtu ana mawazo ya kuhonga ili tupate ushindi basi naomba mawazo hayo yapotee kama harufu ya ushuzi.

Hizi kashfa wanazopata wenzetu zisije tokea kwetu...
 
umewahi kuona simba jike limepakwa wanja na Lipstick?

Halafu limevalishwa Gagulo na Sidiria?
 
Ni aibu kwa historia na ukongwe huu Yanga inashindwa kujitegemea.

 
Bado rekodi yake ktk mechi za kimataifa za michezo ya afrika,bora simba walicheza fainali kombe la caf 1993, nusu fainali klabu bingwa afrika 1974, na ktk ligi ya mabingwa afrika 2003 hawakushika mkia walishinda mechi 2 uwanja wa taifa Dar hawakupoteza mechi, ila Yanga hawakushinda mwaka 1998 waliposhiriki ligi ya mabingwa barani afrika,walishika mkia,walifungwa taifa mechi ya mwisho na Asec 3-0,wakatyi simba waliwalaza Asec 1-0 taifa na Asec akashika mkia 2003 ktk kundi la simba,ismailia na enyimba,rekodi yanga wanaojivunia ktk Caf ni robo fainali 2 moja walifungwa na asante kotoko 1970 kwa kurusha sarafu,na hii ya mabingwa afrika kuwa timu ya kwanza kutoka afrika mashariki kushiriki ligi la mabingwa afrika toka ianzishwe mfumo wa ligi mwaka 1997.
 


Simba walizidiwa sana! Huyu jamaa alipigwa chenga akamvuta mwenzake bukta na kuacha nyeti nje !
 


Simba walizidiwa sana! Huyu jamaa alipigwa chenga akamvuta mwenzake bukta na kuacha nyeti nje !

Hahahahaha nasikia Simba licha ya kuloga saaaaaaaaaaaaaana waliambulia kipigo hapo CCM Kirumba
 
Hahahahaha nasikia Simba licha ya kuloga saaaaaaaaaaaaaana waliambulia kipigo hapo CCM Kirumba

Watani Kulikoni sasa mambo hayaendi kabisa, au ndo yule maiti mliyetumia kuloga mechi na mtani anawaachia nuksi? Rekebisheni mwenendo huo sie tunatimua vumbi j5.

Halafu yule mlokole Boakye kuwashauri muache kuloga na kucheza mpira ndo mumfukuze kwa utovu wa nidhamu?

Acheni hayo mambo chezeni mpira mbona timu yenu si mbaya sana,mapungufu yapo kidogo tu kama kushindwa kufikisha pasi 3, hayo yanarekebishika sana tu, ni kujipanga tu watani!

Ni hayo tu kwa leo,tukutane wiki ijayo kwenye msimamo wa ligi
 
Yanga kumtimua kocha? wawaweka kiti moto kamati ya uchawi...Kamati ya uchawi wadai walisahaulika kwenye mgao wa mil 50 baada ya kuwafunga watani wao.

Yanga acheni uchawi chezeni mpira mlipo wafunga Simba umlijua ligi imeisha au......
 

Acha mbwembwe...
mtu kama wewe ndio huwa unashangilia Mimba.
Halafu mkeo anapata degedede kisha anavuta kabla hata hajazaa.
soma pumba zako hapo juu je mliwahi kuchukuwa kombe hata moja kati ya hayo uliyoyaorodhesha?
 
Acha mbwembwe...
mtu kama wewe ndio huwa unashangilia Mimba.
Halafu mkeo anapata degedede kisha anavuta kabla hata hajazaa.
soma pumba zako hapo juu je mliwahi kuchukuwa kombe hata moja kati ya hayo uliyoyaorodhesha?
Mwenzio kacheza Fainali ya CAF na ktk ligi ya mabingwa alishinda,wewe hukushinda hata gemu 1,ulishika mkia,ulifungwa nyumbani,ana angalau kuliko wewe,ni bora usiseme yenye mafanikio kuliko zote,mafanikio gani unayo?CECAFA? :smile-big: na hata hilo kakuzidi kubeba mara nyingi bado.
 
Fuso wa Yanga aipa ubingwa Kilimanjaro Star...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…