Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwani mpira umeisha ama bado?
Tupeni matokeo wadau...
 
wanafatilia game, endeleeni kutujuza yanga anavyo chezeshwa kiduku..
 
Kwani mpira umeisha ama bado?
Tupeni matokeo wadau...

Mpira bado unaendelea tulia mkuu hapa Jamvini wako Wadau Wengi sana wa Yanga aka, Kandambili aka Kagoda FC wataleta Matokeo
 
kagoda fc hili jina limetulia sana ila sijui ndiyo liletunalolida pesa za epa?
 
Hii ni Yanga.Wazee mnakumbuka Ugali wa Yanga (ugali wa dona kutokana na rangi yanke)?
 
gang, napendekeza wachezaji nao wajiuzuru hasa beki..kama hii timu imewafanya kitu mbaya je wazee wa maandamano itakuwaje, niafadhali mtolewe mapema kuepuka aibu mtakakayo kuja ipata..
 
Jamani yebo yebo wamengiwa na nini? si wameshinda shinda mechi za hivi karibuni hapa kwenye ligi kwa goli nyingi?

Yaani mechi moja goli nne? duh!
 
Hahahah . . . . Simba bwana, yaani wanafurahaaa Yanga kutoka 4-4 . . . .
 
Ah hawa jamaa asivali watolewa huku huku mwanzoni, wakiendelea mbele wakakutana na timu zinazojua mpira wanaweza pigwa 10-0 kama Fayernood!. Hawana kitu.
 
Hahahahah . . . mashabiki wa Simba wananichekesha sana
Kwa sasa wamesahau msemo NYANI HAONI . . .
 
Back
Top Bottom