Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

images

mnyama anakufa leo!
 
wote wawili mnajitetea bure; simba walikuwa na nafasi kubwa na kuchukua ubingwa lkn wameharibu wao wenyewe.hakuna wa kumbeba mwenzake,yanga iko imara na simba wako vizuri na ndio maana hadi sasa wamelingana pointi.Kimsingi kutokana na ubora wa yanga na udhaifu wa toto,ni lazima yanga ashinde na hilo halina uhusiano na upangaji wa matokeo.
Dogo nakuona unashabikia chama lako leo, mimi simba wewe yanga lakini toto ni timu yetu ya nyumbani, kwa nini tusiiombee waipige yanga.
 
mzee ras nipe matokeo ya kirumba , simba 2- 0 majimaji
 
Mwanza ni dakika ya 27 sasa Toto 0 Yanga 0............Ngoma inogile
 
Kirumba mambo bado magumu kati ya KAKA na MDOGO wake, wanatunishiana.
 
Simba karuhusu kufungwa bao, mwanza bado hawajafungana na ni mapumziko.
 
Back
Top Bottom