kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
mnyama anakufa leo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samata hayupo!
Samata hayupo!
Dogo nakuona unashabikia chama lako leo, mimi simba wewe yanga lakini toto ni timu yetu ya nyumbani, kwa nini tusiiombee waipige yanga.wote wawili mnajitetea bure; simba walikuwa na nafasi kubwa na kuchukua ubingwa lkn wameharibu wao wenyewe.hakuna wa kumbeba mwenzake,yanga iko imara na simba wako vizuri na ndio maana hadi sasa wamelingana pointi.Kimsingi kutokana na ubora wa yanga na udhaifu wa toto,ni lazima yanga ashinde na hilo halina uhusiano na upangaji wa matokeo.