Ushindi hapo upo, japo tutachelewaNext Match tunakipiga na Azam Wakuu. Kwa kikosi chetu mnaonaje matokeo yatapatikana?
Mi naona tutapata ushindi hata kama ni kiduchu.
Yabidi Zahera apange kikosi cha kueleweka sababu isije kuwa yale ya round ya pili mwaka jana.Ushindi hapo upo, japo tutachelewa
Kabisa... Azam hiyo game watakuja wakiwa wanajiamini sana, na ndio kitu ambacho kitawagharimu na kwa sasa hawapo vizuri sanaYabidi Zahera apange kikosi cha kueleweka sababu isije kuwa yale ya round ya pili mwaka jana.
Japo Yondani tutamkosa naye
Yah! Na kikubwa tusiwategemee waamuzi sababu hawa wa Tanzania sababu akili zao wanazijua wenyewe.Kabisa... Azam hiyo game watakuja wakiwa wanajiamini sana, na ndio kitu ambacho kitawagharimu na kwa sasa hawapo vizuri sana
Yah! Na kikubwa tusiwategemee waamuzi sababu hawa wa Tanzania sababu akili zao wanazijua wenyewe.
Pia yabidi tutengeneze nafasi kwa wingi na tuzitumie.
Hakika ila mwisho wa siku tunafuata tu ile Slogan yetu isemavyo "Daima mbele nyuma mwiko"Hilo ndilo hasa latakiwa kuzingatiwa na wachezaji wetu... Hawa waamuzi wetu wanatufelisha sana, si wa kuwaamini...
Hakika ila mwisho wa siku tunafuata tu ile Slogan yetu isemavyo "Daima mbele nyuma mwiko"
Hahahah "Daima mbele nyuma Birian"Hakika ila mwisho wa siku tunafuata tu ile Slogan yetu isemavyo "Daima mbele nyuma mwiko"
Halafu wakati naandika humu kwenye uzi wetu nikawa nakuwaza nikisema lazima nione quote yako. Hahahaaaa.Hahahah "Daima mbele nyuma Birian"
Nimewamic kuwachokozaHalafu wakati naandika humu kwenye uzi wetu nikawa nakuwaza nikisema lazima nione quote yako. Hahahaaaa.
Naona umekuja Mtani. Lol
Hii ya kwako Mtani ile yetu inasema nyuma ni mwiko.Hahahah "Daima mbele nyuma Birian"
Hata na mie nimeona. Haya jumamosi tunamkalisha Azam sasa.Nimewamic kuwachokoza
Ndo kauli mbiu ya sasaHii ya kwako Mtani ila yetu nyuma ni mwiko.
We mwenyewe Hahahah hutoweza kutangaza magoliHata na mie nimeona. Haya jumamosi tunamkalisha Azam sasa.
Jiandae nitaleta Updates.
Hii yabidi mukaiongeze pale kwenye Nguvu moja.Ndo kauli mbiu ya sasa
mtani nakummis
Bora umenijulia. Mie mechi ka zile hata kuandika mkono huwa hauwezi yaani akili na mwili vyote vinahamia uwanjani mpira unapochezwa.We mwenyewe Hahahah hutoweza kutangaza magoli
Nipo Mtani. Naona ukapotezea Tag langu mechi na Kagera.mtani nakummis
Me simu huwa naweka kwny chaj Simba akishinda natoa kwny chaj tukifungwa huwa naacha mpaka iwe imejaa chajBora umenijulia. Mie mechi ka zile hata kuandika mkono huwa hauwezi yaani akili na mwili vyote vinahamia uwanjani mpira unapochezwa.
Huwa naweza kuandika before and after 90mins.