Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yah. Tulifuatilia za Kimataifa tu.Sa iv mnajifanya hamjui ratiba za Simba Sport Club
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah. Tulifuatilia za Kimataifa tu.Sa iv mnajifanya hamjui ratiba za Simba Sport Club
Duh!Yah. Tulifuatilia za Kimataifa tu.
Nakupendea hapo Shadeeya kwa kuwa mkweli, hua hauidanganyi nafsi yako kujipa matumaini hewa 😀😀Nishakubali sababu kama matumaini yapo ni hafifu sana Mtani.
Na mechi ya Ntibwa ndio ikaharibu zaidi.
Ni Ukweli Ses matumaini ya Ubingwa si makubwa kama ilivyokuwa pale mwanzo.
Japo Yanga siipendi lakini hiyo Slogan yenu nimeielewa sana ujue 😉😉😉😛Hakika ila mwisho wa siku tunafuata tu ile Slogan yetu isemavyo "Daima mbele nyuma mwiko"
Ndio sababu mpaka Mo naye anaikubali. Juzi anasema Simba Daima Mbele. 😂😂😂Japo Yanga siipendi lakini hiyo Slogan yenu nimeielewa sana ujue 😉😉😉😛
Sasa na uchaguzi wa viongozi wenu si ndio utaivuruga zaidi club au wadhani ndio muarobaini wa matatizo yenu? Maana hatutaki msimu ujao tutakapokua tunawanyoosha mje na visingizio vya migogoroNi Ukweli Ses matumaini ya Ubingwa si makubwa kama ilivyokuwa pale mwanzo.
Sina hakika japo naona uchaguzi huenda ikawa suluhisho la tunayoyapitia kwa sasa.Sasa na uchaguzi wa viongozi wenu si ndio utaivuruga zaidi club au wadhani ndio muarobaini wa matatizo yenu? Maana hatutaki msimu ujao tutakapokua tunawanyoosha mje na visingizio vya migogoro
Nipo Shemela. Kuna mambo yalinibana kidogo ila nimerudi shem.Wapi shemela?
Kijana wetu mpya: ni swala la mda tu
Kuumbe! Yaani Mtani pesa zenu zote bado mnataka wachezaji wa timu ya Wananchi. LolKijana wetu mpya: ni swala la mda tu
vyote bora vilivo ndani ya nchi lazima tuvichukue vije vicheze club kubwa Africa mtaniKuumbe! Yaani Mtani pesa zenu zote bado mnataka wachezaji wa timu ya Wananchi. Lol