Kuna ile kesi ya kupulizia dawa vyumbani sjui walifika nayo wapi?Hii mechi ya kirafiki ya Yanga vs As vita imenichekesha sana wote wawili hawa walishirikiana kutaka kumtoa Simba Klabu bingwa Africa na wote walikufa kwa Mnyama sasa hii mechi inakutana Wabovu kwa Wabovu dakika 90 zitaamua ni nani Mbovu zaidi ya mwenzake.
Mmeamua kukutana wabovu kwa wabovu ili kumpata mbovu zaidi hahahahahahahaha Wabovu mliosaidiana Taifa kumtoa Simba na bado mkashindwa.
Mtani kwani unateseka? 💃💃💃💃Mmeamua kukutana wabovu kwa wabovu ili kumpata mbovu zaidi hahahahahahahaha Wabovu mliosaidiana Taifa kumtoa Simba na bado mkashindwa.
Hahaaaaa. Yote kwa yote mwisho wa siku , siku ya wananchi ipo palepale Mtani.Mmeamua kukutana wabovu kwa wabovu ili kumpata mbovu zaidi hahahahahahahaha Wabovu mliosaidiana Taifa kumtoa Simba na bado mkashindwa.
hii ndio iliyomaliza ufalme wa simba uwanja wa taifa, ilipofanyiwa kazi simba haikushinda tena, ndiyo iliyokuwa inampa kiburi manara atangaze kuwa hata akija barcelona taifa hatoki, wazee wa mbinu tp mazembe wakaneutralizeKuna ile kesi ya kupulizia dawa vyumbani sjui walifika nayo wapi?
Yaani wewe na akili yako yote uliamini hivyo?... MBAMBANE kule kwao tuliweka dawa?...hii ndio iliyomaliza ufalme wa simba uwanja wa taifa, ilipofanyiwa kazi simba haikushinda tena, ndiyo iliyokuwa inampa kiburi manara atangaze kuwa hata akija barcelona taifa hatoki, wazee wa mbinu tp mazembe wakaneutralize
mbovu alikupiga vitano bila au fyuzi imechomoka hahahahahahahahaHii mechi ya kirafiki ya Yanga vs As vita imenichekesha sana wote wawili hawa walishirikiana kutaka kumtoa Simba Klabu bingwa Africa na wote walikufa kwa Mnyama sasa hii mechi inakutana Wabovu kwa Wabovu dakika 90 zitaamua ni nani Mbovu zaidi ya mwenzake.
Kulingana na CAF club ranking vita yupo nafasi ya 12 sasa hebu linganisha na MIKIA mlipo ndio umuite mbovu hahahahaha jiangalie usijekimbizwa mirembeMmeamua kukutana wabovu kwa wabovu ili kumpata mbovu zaidi hahahahahahahaha Wabovu mliosaidiana Taifa kumtoa Simba na bado mkashindwa.
Mwisho wa siku hizo 5 zilimpeleka wapi sasaM
mbovu alikupiga vitano bila au fyuzi imechomoka hahahahahahahaha