Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Hii mechi ya kirafiki ya Yanga vs As vita imenichekesha sana wote wawili hawa walishirikiana kutaka kumtoa Simba Klabu bingwa Africa na wote walikufa kwa Mnyama sasa hii mechi inakutana Wabovu kwa Wabovu dakika 90 zitaamua ni nani Mbovu zaidi ya mwenzake.