tetesi za chini chini timu ya yanga leo hawajafanya mazoezi kisa ni ukwasi wa pesa uliopo kambini kiasi cha kuomba mechi ya hisani na timu ya mawenzi market ya Morogoro
ingawa mechi hiyo ipo katika mpango wa mkutano wa dini (dhehebu mojawapo hapo Morogoro ambao wanakawaida ya kufanya tamasha kila mwaka
Sawa kumbe na wewe una msimamo wako... ndio maana
Nakukumbusha kuwa simba alienda robo fainal na Vita club alirudi nyumbani.. (bisha tena)
Acha ushamba JF sio yako..Mnatuchafulia Uzi wa Yanga, habari za mikia mkajadili kwenye Uzi wenu
Mbu3Acha ushamba JF sio yako..
Siku moja utamwagiwa kamasi wewe... acha ushambaMbu3
Siku moja utamwagiwa kamasi wewe... acha ushamba
Jadili soka sio umama wakoWewe ni Ke ama, punguza maneno
Jadili soka sio umama wako
Mke wa mzee'babaUnasema mimi ni mama yako
Ishu ni kwamba bao tano ziliingia, no matter what,Alivuta mkia bwana yenu... sjui unakumbuka
No matter what.. tulifika Q.FINALIshu ni kwamba bao tano ziliingia, no matter what,