Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Matokeo ya moshi vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata na mie sijui Mtani. Ngoja nikagoogle 😜Matokeo ya moshi vipi
Police 2-0 yangaMatokeo ya moshi vipi
2 bila, poleni wazee wa matopeniHata na mie sijui Mtani. Ngoja nikagoogle 😜
Ndio mpira wa miguu huo Mtani.2 bila, poleni wazee wa matopeni
Hata ligi haijaanza mmejichokeaNdio mpira wa miguu huo Mtani.
Haya ni maono yenu ila sidhani kama tumejichokea Mtani.Hata ligi haijaanza mmejichokea
Mechi zenu zinathibitishaHaya ni maono yenu ila sidhani kama tumejichokea Mtani.
Tatizo nini sasa hapo? Unjano na weusi! Kwani hii ni nini?DAIMA MBELE.... NYUMA MWIKO!View attachment 1178184
Mara ya mwisho tulipokutana na hao jamaa kabla hatujacheza nao msimu huu mechi ya kwanza walitufunga 2-1 uwanja Wa taifa,marudiano kwao tukatoka sare, so lolote lawezekanaIyo sale lazima iwa cost,maana kama mmeshindwa kufua dafu nyumbani ugenini mtaweza?
Mambo ya vikuku hayo! [emoji3]Tatizo nini sasa hapo? Unjano na weusi! Kwani hii ni nini?View attachment 1184237
Sasa ugenini kule mkuu hiyo hamsha itatokea wapiYanga hamnaga amsha amsha kabisa...tumepoa sana,yani hata kauzi ketu tu kamepoa
Hadi mshinde ndio huwa wanajileta Shadeeya upo wapi leoYanga hamnaga amsha amsha kabisa...tumepoa sana,yani hata kauzi ketu tu kamepoa